Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Jaman wadau nisaidien,hivi biashara ya kusafirisha mahindi kwenda kenya inalipa kwa mchanganuo upi?iko vizuri?maana naona wa2 wanaichangamkia sana.
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Miaka kama miwili nilifika Singida kwa shughuli maalumu,niliweza kujifunza mambo kadhaa mazuri hasa kule Mtinko/Ilongelo. Nikawa na hamu ya kufika Tabora,akina Elinino/Sikonge walinipa ABC za...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Nauza Mbuzi maksai zipo 40 Nipo iringa mjini kila mbuzi nauza kwa elfu 70
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Majani ya nyanya zangu yanakauka sijajua ni ugonjwa gani mwenye kujua anisaidie
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Samahani wana jf Nina Shamba langu ddogo la ekari 2 la muhogo. Ninatamani kutengeneza unga wa muhogo ili niuuze badala ya muhogo wenyewe. Plz ninaomba Mwenye uzoefu na kazi hiyo nipo Dar.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Asilimia 40 ya mazao yanayovunwa Tanzania, yanaharibika kabla ya kumfikia mtumiaji kwa kukosa vifaa vya kuhifadhi mazao lakini pia kwa kukosekana viwanda vya kusindika. SIDO wako wapi na...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Posted mistakenly... I can't delete this post.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Igweeeeee Mfugaji aliyeko Dodoma na anauza kuku wa kienyeji, nahitaji matete 4 na jogoo moko, kwa ajili ya kufuga mbegu iwe nzuri. Mdondo umenisafishia banda!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
saizi ni ulimwengu wa smartphone na internet tumia fursa hii kueneza biashara yako mikononi mwa mteja.natengeneza blog na android mobile app kwa bei nafuu mno na kuiweka playstore kabisa. blog...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Natafuta taasisi au watu binafsi mwenye utaalamu wa kilimo au Ufugaji ambao watakuwa tayari kutoa Elimu kwa watu wenye interest ya kulima mazao mbalimbali au kufuga mifugo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalam, Nataka Kuanzisha hii biashara huku mtaaani ila Naomba kujua Mawazo yenu na wapi nitapata hii bidhaa kwa urahisi na bei ya Chini UGORO (MKALI)
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mkulima mwenye uzoefu wa water pamp ya sola atujuze
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf hapa najua kuna wataalamu wa kilimo. Sisi Watanzania asilimia kubwa ni wakulima, hata uwe mfanyakazi wa ajira sehem fulani baadhi yao wanalima. Kinachoniskitisha hapa kwani tunashindwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Haiwezekani mtu anaomba msaada alafu watahalamu husika mpo kimya ivi kwastaili hiyo tutafika ayo mnayoleta nimambo yakitt MTU akiuliza anamaana yakua hajuui kitu so msaada wenu ndio nguvu kwawote...
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Habari zenu wadau, naomba mnielekeze wapi naweza kupata ushauri makini wa ufugaji kuku na mbuzi. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Habari wanajamvi, nimepitia makala ya faida ya kilimo cha miti ndani ya jamvi iliyochangiwa mwaka 2012,Naomba mwenye mchanganuo wa kina kuhusu faida ya uwekezaji wa kilimo cha miti anipatie na pia...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu habari, baada ya mpigo wa kwanza ulionipa hasara takriban eka 2 zote za tikiti najipanga nirudi tena shambani,kwaajili ya tikiti Naomba mwenye mawazo au ushauri kwa wazoefu wa kilimo...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau wa kilimo tumekuwa tukipata changamoto katika kununua au kuuza mazao kwa wakati na bei sahihi. Zifuatazo ni sababu mbali mbali: Wauzaji/wakulima 1. Kukosekana kwa taarifa sahihi za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari yako ndugu yangu.. Naomba tufahamishane kwa wale wenyeji wa Mbeya pamoja na wanao ifahamu kiasi, ni maeneo gani ndani ya Mbeya naweza Kodi shamba hasa kwa kilimo cha umwagiliaji cha...
1 Reactions
35 Replies
13K Views
Back
Top Bottom