relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,311
- 5,147
Wakuu habari!,Mimi nataka nianze ujasiliamali wa ufugaji wa kuku jamii ya chotara nilichotaka kufahamu katika hawa chotara aina mbili kati ya kuroiler na wale wa Malawi ipi mbegu bora katika ufugaji kuanzia ustahilivu wa magonjwa,utagaji hata maumbo yao,upatikaji wa vifaranga vyao na masoko yao,natanguliza shukran .