nyakatende nyumbani
Member
- Dec 9, 2014
- 65
- 15
WAFUGAJI NINAO KUKU PURE KIENYEJI WALIO TAYARI KUTAGA NA WAMEPATA CHANJO ZOTE MUHIMU NAPATIKANA MBEZI DSM BEI 15000 LETA ODA YAKO 0769841836
Sasa ndugu yangu hili swali unatarajia akujibuje?? Au hujawahi kufuga kuku?umejuaje wako tayari kutaga
Wameanza kutetea.umejuaje wako tayari kutaga
Uko mkoa gani?, mimi niko kataviWAFUGAJI NINAO KUKU PURE KIENYEJI WALIO TAYARI KUTAGA NA WAMEPATA CHANJO ZOTE MUHIMU NAPATIKANA MBEZI DSM BEI 15000 LETA ODA YAKO 0769841836