Mahindi mahindi nina gunia 40 nauza 125,000 tuu.

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
522
221
Wakuu ninauza mahindi gunia kwa bei tajwa hapo juu nipo Dar es Salaam kwa atakae hitaji karibuni sana ifahamike wazi ni gunia la 100kg.
 
ingia pia tovuti ya ninayo.com hapo utauza pia. 0623-999538 hiyo ni namba yao unaweza kuwapigia kisha mkapeana miongozo.
 
Wakuu ninauza mahindi gunia kwa bei tajwa hapo juu nipo Dar es Salaam kwa atakae hitaji karibuni sana ifahamike wazi ni gunia la 100kg.
Haina shida mkuu, uza tu...!!!
 
Kwetu mbeya gunia la debe 6 ni sh 60000. Sasa ila sielewi ni sawa sawa na kg ngapi apo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom