Soko la Mkaa wa kisasa

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
1,110
1,475
wadau ninatengeneza mkaa wa kisasa briquette kama sehemu ya ajira yangu tangu nimalize masomo. sasa changamoto kubwa ni kwenye masoko, hivyo naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia mahali ninbakoweza kupeleka mkaa wangu pamoja na oda za majumbani napokea. asante kwa ushirikiano wenu

NB: NApokea ushauri na maoni ya jinsi ya kuboresaha bidhaa yangu, asante sana
 
Ndo ule unauzwa pale mwenge pamoja na yale majiko sijui kutoka Marekani?
 
Fanya hv toa gunia moja kama sadaka kwa watu kwenye vijifuko kama majirani zako magenge wauza chips na sehemu tofauti then watu waweze kuutest. People are always afraid of the unknown baada ya hapo watakufuata wenyewe
 
wadau ninatengeneza mkaa wa kisasa briquette kama sehemu ya ajira yangu tangu nimalize masomo. sasa changamoto kubwa ni kwenye masoko, hivyo naomba kwa yeyote anayeweza kunisaidia mahali ninbakoweza kupeleka mkaa wangu pamoja na oda za majumbani napokea. asante kwa ushirikiano wenu

NB: NApokea ushauri na maoni ya jinsi ya kuboresaha bidhaa yangu, asante sana
Umefikia wapi kwenye hii biashara?
 
Back
Top Bottom