Vifaranga wanatapika damu

Vifaranga wanatapika damu

nenda kwa dr yeyote wa mifugo aliye karbu naww mkuu
 
Any changes in feeding? Or any exposure in poison ?or if any treatment done before?
 
Hawajarogwa kweli hao ???.....ebu angalia mtàani hapo umegombana na nani
 
Je usafi wa banda ulifanyika vizuri kabla ya kuwaingiza hao vifaranga ??Uchafu na masalia ya bacteria husababisha.Kwa maelezo sahihi zaidi wahi kwa dr wa mifugo utaweza okoa vifaranga wengine wasife.Nenda na kifaranga kabisa..

Pole sana.
 
Hii mpya kabisa kwangu, Nimeanza ufugaji wa kuku ingawa haikuwa
Rasmi toka mwaka 1989, sio kuona tu hata kusikia ndio kwanza hapa JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom