Nataka kulima heka moja ya viazi

Nataka kulima heka moja ya viazi

tzhello

Senior Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
114
Reaction score
52
Habari zenu wanajamii,naomba ushauri wenu mimi nina heka mbili ambazo zimepitiwa na maji ya jirani yangu aliyepitisha bomba la maji kati kati ya shamba langu na kufanya hekari moja kuwa chini na nyingine kuwa juu,sasa nataka kufanya kilimo cha umwagiliaji na nilitamani sana kutumia mipira ya dripping pamoja na kuweka tenki ila mtaji wangu ni mdogo sasa nilikuwa nafikiria ninunue pampu ya MONEY MAKER kwa ajiri ya kuweka kibarua amwagilie sasa najiuliza je hizi pampu zinafanya vizuri kwenye mazingira kama hayo ukizingatia ndo naanza kilimo?
 
wanakuja hasa wenyeji wa gairo wanafanya sana kilimo hiki
 
Back
Top Bottom