ndugaseli
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 869
- 2,405
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume ninaetaka kujikwamua kwenye janga la umaskini kupitia vimitaji vidogo lakini biashara ninayo ona itanifaa ni kuchukua matikiti bush kuyaleta town.
Kwa yeyote anayejua au aliyewahi kufanya biashara hii anipe njia ya kupata masoko kiwepesi bila kupitia mikona ya dalali 'nawasilisha kwenu kwa ushauri zaidi wakuu'.
Kwa yeyote anayejua au aliyewahi kufanya biashara hii anipe njia ya kupata masoko kiwepesi bila kupitia mikona ya dalali 'nawasilisha kwenu kwa ushauri zaidi wakuu'.