federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
Nahitaji kujua bei ya mtoto wa nguruwe alieacha kunyonya ni kiasi gani?? Nipo dar kigamboni
Hamna mimi nataka nianze kufuga.. ila jana kuna mtu hapa alisema wana hasara kwenye kuwahudumiaIli mradi uwakere ndugu zetu waislamu???
Kwa mkoa gani?? Minpo darTsh50000 had 70000
ManyoniKwa mkoa gani?? Minpo dar