Tuamke tukaanze Kilimo wakuu hali ni mbaya siyo lazima wote mkaajiriwa. Mimi Roho huwa inaniuma Mtu anavyokuja na Kuandika thread nataka Sehemu ya Kujitolea bila Malipo hebu Imagine Sehemu hiyo...
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume ninaetaka kujikwamua kwenye janga la umaskini kupitia vimitaji vidogo lakini biashara ninayo ona itanifaa ni kuchukua matikiti bush kuyaleta town.
Kwa...
Wada mnajua yakua kuna vilimo vya mazao mengi sana sasa nina million I nataka nilime kati ya mwaka 2018 je mnaweza kunishauli kilimo gani ambacho ukilima huaga uakika yan kwamba akikupi hasara...
Wadau wa Kilimo nipo Kongowe - Kibaha natafuta mbegu ya kiroba nzuri ya kutosha heka tano yaani vipande/vipandikizi 20,000. Mashariti mbegu iwe imekomaa isipungue umri wa miezi 9 shambani.
Wakuu tokea masika tu kuisha mipapai yangu imekuwa na muonekano huu. Nilimtafuta kijana mmoja mlima bustani na kumuomba aliulizie wataalam wa mimea kama ni shambulio, jibu likawa ni ukungu. Sasa...
Naitaji wadau wenye nia ya dhati kufanya kilimo hiki kwa soko la nje na ndani tushare mambo....... Ni mzoefu na tafuta partner's wa kufanya hii project. Moshi 0763370175 watsup
Samahani wadau nasikia wiki 2 zilizopita Tz imeingia makubaliano na serikali ya China kuanzisha kiwanda kitakochokuwa kinaprocess muhogo,hapa nikiri kwamba sina details za kutosha but kwa upande...
Lango la kuungana na partner 2 ili tuwe 3 tuingie kwenye kilimo cha kisasa katika hiyo mikoa kati ya MOROGORO AU MBEYA ni kuunganisha nguvu ili tuandae shamba,tulime,na tusimamie wenyewe.
Karibuni PM
Habarini wakuu!
Nimekuwa nikitafuta tafuta vipesa kwa muda mrefu, ila nimebahatika kupata kama milioni 5. Napenda kuwekeza kwenye chakula hasa mahindi. Tatizo ninalopata ni kuwa nimepata vipesa...
Habari wakuu,poleni kwa ukata,Na hongereni kwa sikukuu ya pasaka.
Wakuu mshahara wangu ni nusu kipenyo sasa nikaona nijiongeze kwa kulima bustani ya Nyanya.
Kwa wale wataalam Na wazoefu naomba...
Katika hotuba ya Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi leo 19/05/2017 bungeni kuhusu bajeti ya 2017/2018,amesema, "Hadi kufikia Machi 2017 jumla ya tani 3,162.65 za nyama ziliuzwa nje ya nchi katika...
Hi, mimi ni mtaalamu wa mifugo kwa wanyama mbalimbali kama mbwa, kuku, bata maji, bata bukini, Nguruwe, kondoo, mbuzi etc...kwa wakazi wa bagamoyo, bunju, boko, goba,mbezi, kimara......Gharama...
Wadau nimepata mchongo wa shamba maeneo ya Bagamoyo, kama unaingia eneo maarufu kwa jina la KIWANGWA.
Je,ni mazao gani yanafaa kulimwa katika eneo hili?
Mimi ni kijana wa miaka24 maisha yangu napenda sana kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji, nimefanikiwa kupata ardhi inayoniwezesha kufanya kilimo na mimi nimefikiria kupanda miti ya mbao na miembe ya...
Kuku wa mayai (layers) wekundu wakubwa wanauzwa.
Wanapatikana kimara Dar es salaam.Wanafaa kwa kuliwa.
Mawasiliano 0716927054
Wapo 70 na bei ya jumla ni 7,000@.
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.