Nani anathibitisha chakula cha mifugo?

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,653
2,186
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu uthibitisho wa vyakula vya mifugo wanavyopewa wanyama yetu siku zote Bila Majibu. Ni Nani wanahusika Tfda au TBS.. mbona havijawahi kushikwa ambavyo ni substandard au vyote vinakidhi vigezo?
 
Back
Top Bottom