Vifaranga wa Sato wanauzwa Tsh. 300 tu!

Sula

Member
Apr 3, 2015
10
45
Habari wajasiriamali.
Kifungu fish farm iliyopo Kigoma inawatangazieni kuwa inawauza vifaranga wa sato (oreochromis tanganyikae) kwa tsh. 300 kwa kifaranga. Tutawauzia vifaranga wakubwa (urefu wa inchi moja na nusu) ili mnufaika zaidi kwa muda mfupi.
Wasiliana na Edward - 0754978673 au Suleyman - 0745865813

ba543a81b7aed80396be0ce09e8ab555.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom