Pancho panchilo
Senior Member
- May 18, 2017
- 121
- 95
Jamani naombeni msaada wa wapi pakupata mahindi kwa bei rahisi..
Nenda songeaJamani naombeni msaada wa wapi pakupata mahindi kwa bei rahisi..
Napeleka dar mkuuNenda songea
Wameanza mavuno na bei iko chini kidogo
Unahitaji upeleke mkoa ganii?
Napeleka dar mkuu[/QU
Ok
Una mahindi ya mwaka huu au janaTuwasiliane 0763370175
Jamani naombeni msaada wa wapi pakupata mahindi kwa bei rahisi..
Mwanza mnasafirisha?
Hatujawahi ila uwezekano mkubwa upo songea kuna soko kubwa la Dagaa mwanza usafiri upoMwanza mnasafirisha?
Mwaka huuUna mahindi ya mwaka huu au jana
Bado unahitaji?Jamani naombeni msaada wa wapi pakupata mahindi kwa bei rahisi..
Kuna mahindi na maharage ya njano,unahitaji mkuuUna mahindi ya mwaka huu au jana
Uko mkoa gani na bei gani unauza?Kuna mahindi na maharage ya njano,unahitaji mkuu
Una hitaji mahindi?Una mahindi ya mwaka huu au jana
Mkuu bei ya mahindi haijashuka? Mnasambaza na mazao gani mengine?
mkuu nahitaji gunia moja nipo dar je inawezekana na muundo wa malipo upoje?
Njoo pande za Lindi ni bei chee mkuuJamani naombeni msaada wa wapi pakupata mahindi kwa bei rahisi..
Lindi sehemu gani yanapopatikana mahindi?Njoo pande za Lindi ni bei chee mkuu