Mtama mweupe.

TATIANA

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
4,327
2,000
Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Hongera,if you don't mind...umelima eka ngapi na kila eka inatoa gunia ngapi?
 
TATIANA

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
4,327
2,000
Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Kama hutajali nijulishe utavuna lini na unapatikana wapi ili nikuunganishe na mteja....
 
10Shoka14

JF-Expert Member
May 10, 2012
305
250
Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Mkuu kama issue yako ni halisi nakushauri nenda Arusha kamtafute Mzee Nyirenda yupo ndani ya Sido Arusha anauwezo wa kuufuata na kuuchukua wote. Anajihusisha sana na bidhaa zitokanazo na mazao ya kilimo hasa nafaka

Wasalaam
 
The Amazon

Member
Jan 16, 2017
25
75
Mkuu kama issue yako ni halisi nakushauri nenda Arusha kamtafute Mzee Nyirenda yupo ndani ya Sido Arusha anauwezo wa kuufuata na kuuchukua wote. Anajihusisha sana na bidhaa zitokanazo na mazao ya kilimo hasa nafaka

Wasalaam
Ahsante sana mkuu,nitafanya ivo.
 
CaptainDunga

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
1,550
2,000
Habarini wakuu!
Naomba kujua soko la uwakika la mtama mweupe kwani nategemea kuvua zaidi ya gunia mia tano za mtama mweupe mwezi ujao.
Kuna thread moja ilikuwa humu humu JF jamaa alikuwa anatafuta mtama mweupe tena tani za kutosha embu jaribu kutafuta thread hiyo.
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,889
2,000
Mtama sio mweupe lakini mwekundu ila unao limwa sana mkoa wa Mara. Ule mtama unatebgeneza majani ya chai wewe acha.

Cocoa na wakina milo hawafuati. ukitumia kwenye chai ya maziwa ni balaa.

niliutumia nikiwa huko enzi hizo. Watu hawajajua kama ni Furusa ila ngoja nikae sawa nitaifanyia kazi tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom