Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
jaman wana jamvi aiseee huku kwetu ukame umezid sana hadi mazao tuliyoyalima yameanza kukauka kutokana na ukosefu wa mvua mungu awe nasii
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu napenda kuwataarifu kuwa mvua zimeanza ,karibia kila kona ya tanzania,nyanda za kusini,kanda ya ziwa, pwani,kanda ya kati, kazikazini na kwingineko. kazi kwenu. mi tayari niko kwa shamba
1 Reactions
2 Replies
853 Views
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za mihangaiko wanajamvi
2 Reactions
1 Replies
2K Views
wana wiki 2 jee nitibu na dawa gani?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwa wale walio na mtaji mdogo na wanajiuliza watauzungushaje mimi ni Mjasiriamali ambae nauza viatu vya kimasai jumla kuanzia pea 10 kwa shilingi elfu 13 na rejareja vinauzwa kuanzia elfu 17 mpaka...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
habari zenu wana JF poleni kwa majukumu nilikuwa na omba msaada kwa anayefahamu mbegu nzuri kwa ajili ya kilimo cha karanga na inayokaa sokoni mda mrefu bila kuharibika pamoja na hatua za ulimaji...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Bado najifunza Kilimo,ninazo green house kubwa 7 ambazo nimepewa niinvest baada ya kuonyesha interest kwenye Kilimo.Zote zina system ya drip irrigation, Maji ya kutosha na full equiped.Zipo...
1 Reactions
Replies
Views
habarini wakuu, naomba kupata muongozo wapi naweza kupata maelezo ya kina kuhusu hali za hewa za mikoa ya Tanzania na mazao yanayoweza kustawi katika mikoa husika. napenda kupata takwimu za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi naishi mbeya Kusema ukweli sijawahi kupenda kulima sababu ya kunyanyaswa wakulima. Ila nimejaribu kutokana na hali ngumu. Ila mwaka huu umekuwa wa ajabu. Mwaka Jana muda kama huu mvua ilikuwa...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Wale Wakulima tunaotegemea mvua msimu ndio huu hapa. Nawakaribisha tujumuike kwa pamoja na tupeana uzoefu wa kilimo hiki hususani kwa kutumia tafiti walizotangaza TMA. Tukianza na wale...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Wakuu 'Posuta' Mi ni mdau ninaetaka kuhamia Karatu hivi karibuni kikazi..ila pamoja na hayo mi ni mjasiliamali kwenye kilimo na ufugaji hivyo nataka kujua bei za mashamba kwa huko zipoje kwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
mimi nipo arusha, natafuta sehemu ambayo wanakodisha mashamba kwaajili ya kilimo, pia nahitaji kujua ni mazao gani hasa yanalimwa kwenye hayo mashamba. msaada tafadhali
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Katika kuandaa vyakula vya mifugo protini hutumiwa kwa wingi. Chanzo kikuu cha protini ni bidhaa kama dagaa, soya nk. Ila sasa hivi dagaa wameadimika na kuwaweka wazalishaji wa vyakula vya mifugo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa kilimo cha ufuta garama zake na soko liko vipi. Asanteni sana
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wadau, nimetafakari jambo hili. Watu wengi wanasema msimu wa kupanda tikiti maji ni kati ya March and september. Lakini msimu huu nikiangalia kupanda mahindi ni kama kucheza karata. mpaka sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei ya vitunguu soko la ilala imepanda kutoka shilingi 60,000 miezi miwili iliyopita hadi 105,000 kwa gunia la kilo 100 kipindi hiki kutokana na kuadimika kwa vitunguu msimu huu
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wakuu uyoga unapatikana hapa mbichi na mkavu karibuni sn
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa Wanajavi na wadau wakilimo. Natafuta mshiriki katika kilimo ambaye tunaweza unganisha nguvu na kufanya kazi pamoja. Nashamba ukubwa wa ekari 60 lipo dodoma nacho hitaji ni mtu wakushirikiana...
0 Reactions
3 Replies
767 Views
Naomba wakazi wa kahama mnijuze yafuatayo, 1) Ni maeneo yapi kilimo cha mboga mboga kinafanyika au yanafaa wilayani Kahama 2) Ni vipi vyanzo vya upatikanaji wa maji katika maeneo hayo, je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom