Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,850
- 10,059
Wajasiriamali wenzangu,Assalaam Aleykum
Ningeomba kujua Sikukuu ya Nane Nane kitaifa itafanyika wapi?
Narajia kwenda kwa malengo yafuatayo:-
A)Kuona na kujifunza mbinu za kilimo na ufugaji kutoka katika washiriki wa Maonyesho
B)Kupata contacts za washiriki na watoa mafunzo ktk part husika,ili baada ya hapo nipate mafunzo ya vitendo
C)Kupata motivations
Vitengo na wadau nitaopenda kuonana nao ni
1)Wafugaji na wadau wa Ng'ombe bora wa Maziwa,Sungura
2)Walimaji na wadau wa Kilimo cha Maembe,Machungwa,Mihogo na Mahindi
3)Watengenezaji au wauzaji wa zana za ku process na kupack mazao na mengine yahusuyo upande huo
4)Kukutana na wataalam kutoka SUA
Nilijaribu kuwasiliana nao ila wakaniambia kwamba mitaala inabadilika kwahiyo hawatoweza kutoa mafunzo mapya kwa sasa.Ila waliniambia niwe nawacheck for update
5)Bila kusahau VETA
6)SIDO
NK