Changamoto za Utengenezaji wa vyakula vya kuku

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,815
9,057
CHANGAMOTO ZA UTENGENEZAJI WA CHAKULA CHA KUKU.

Gharama za ufugaji wa kuku zikiwa asilimia 100. basi 80 huwa ni chakula na 20 ndo mambo mengine kama dawa.

Watu wengi tumekuwa tukijaribu kutengeneza chakula ili tushushe chini gharama za kufuga kuku. Hakuna anaye pe nda kuguga kwa gharama za juu.

NIN CHANGAMOTO ZAKE?
1. Upatikanaji wa malighafi
Unaweza kuwa na nia ya kutengeneza kweli chakula lakini.unaweza zunguka na usipate baadhi ya malighafi.

2. Malighafi kutofautiana ubora
Moja ya chalange kubwa hasa kwa utengenezaji wa chakula cha kuku sa kisasa kamaBroiler na layers ni ubora wa Malighafi
Je mahindi unayo tumia yana ubora? Soya je? Dagaa au samaki je?
Hivi vitu saa zingibe vyenyewr hutofautiana ubora na unaweza kuta kabisa kabisa DCP iliyoko kwenye mahindi yanayo limwa Songea ikawa tofauti kabisa na yanayo limwa Dodoma.
Unaweza kuta soya ikawa na DCP tofauti tofauti.
Unaweza kuta Dagaa wa Baharini wakawa na DCP tofauti na dagaa wa ziwani kama Victoria au Tanganyika.
Hii hiwa ni changamoto namba 1.

3. Gharama za kutafuta Malighafi.
Unaweza jikuta badala ya kupunguza gharama ukajikuta umeongeza gharama mara 2 zaidi.
Unaweza toka nyumbani kwenda kununua malighafi. Ukafika ukakuta Hilo Duka soya hakuna inabidi uwashe gari au upande Daladala uende kwingine. unafika na huko unakuta hakuna inabidi uende kwingine tena.
Ukijumlisha hizo gharama za usafiri unajikuta umetumia gharama kubwa sana.

Je huwa unapiga hizo gharama za mizunguko?
4.Formula ya kutengeneza vyakula.
Hii ni changamoto kubwa sana na kuna jambo watu huwa hatujui kuhusu hizi formula.

- Formula inabadilika unavyo taka,
- Kuna Formula nyingi sana hata wewe unaweza unda Formula yako na ikawa bora zaidi.
- Watu hutengeneza formula kutokana na mambo kama haya:
A. Climatic condition- Baridi au joto
B. Aina ya breed, Wazalishaji wa breed mara nyingi huwa na formula zao kwa ajili ya breeds zao na unakuta wamefanyia majaribio na kuamua hivyo.
C. Upatikanaji wa malighafi na ubora wake pia. Kama nilivyo sema nafaka moja inaweza kuwa na ubora tofauti.
- Formula inategemeana wewe una nini mkononi.

5. Kukosa vyombo vya kupimia DCP, hii sasa  ndo huwa kikwazo kikubwa kabisa kabisa.
Huwezi pima DCP kwa macho, kama kiutalamu DCP ya vifaranga ni asilimia 19 hadi 23 je utaijuaje? utajuaje sasa hiki chakula kina DCP ya 23%? ni ngumu sana.

NINI CHA KUFANYA?

1. Malighafi zinunuliwe kwa wakati mmoja hasa kipindi cha mavuno na zihifadhiwe, kufanya hivyo kutakupunguzia usumbufu wa kuzitafuta.

2. Kwenye Malighafi ya aina moja kiwa na ubora tofauti ni changamoto kubwa sana ambayo sasa hapo lazima uwe na vipimo vya kupimia DCP kujua ni kiwango gani, pia kununua sehemu moja, kama ni dagaa basi tumia wa Ziwani siku zote au wa Baharini siku zote na sio leo wa baharini kesho wa ziwani.

3.FORMULA
Formula sio tatizi kabisa kwenye kutengeneza vyakula, unaweza tengeneza formula yako wewe mwenyewe na kuifanyia majaribio.

4. Tafuta sehemu zenye vyombo vya kupimia DCP ili iwe inapelekea sampo kwa ajili ya kupima na kujua chakula chako kina DCP kiwango gani.

UTENGENEZAJI WA CHAKULA KWA KUKU WA KISASA HASA BROILER NA LAYER

Hapa ndo challange ilipo na hii ni kutokana kwamba hawa ni exotic breeds.

Unapo anza kutengeneza anza na kidogo sana na tenga kuku wachache wa kuwafanyia majaribio.
Ndani ya banda unaweza kata na kutenga Broiler hata10 na wafanyia majaribio kwa chakula chako, na kila siku waangalie na wapime uszito kujua utofauti wake na ambao wanakula cha Dukani.

Usikurupuke kutengeneza chakula kingi make mwisho wa siku utakitupa tu na utakuwa umeingia hasara.fanya try and erro.
Unaweza tengeneza hata  kwa formula tatu tofauti na kuwafanyia majaribio kuku tofauti.

DCP= Digestive Crude Protein. Hiki ndo kipimo cha kupima ubora wa chakula cha kuku.

DCP KUZIDI AU KUPUNGUA ZOTE NI TATIZO KWA KUKU

By Chasha Farming
 
Kutengeneza chakula cha kuku inahitaji kujipanga vilivyo..

Niliwahi kujaribu wakati fulani nikakumbana na changamoto mbili tatu..
 
Mkuu Chasha shukhrani kwa somo zuri kabisa, sasa swali langu ni je endapo umepima malighafi na kujua DCP imepungua au imeongezeka nini kinapaswa kufanyika ili upate ili DCP inayohitajika? Na kama hutojali kuelezea DCP huwa inapimwaje?
 
Nashukuru kwa mchanganuo mzuri.
 
Mkuu somo zuri sana ila twende hatua kadhaa mbele kama changamoto zimeshajulikana sasa tutafute suluhisho badala ya kuendelea kujadili changamoto
 
Mkuu naomba kujuzwa jinsi ya kuzalisha funza kwaajili ya chakula cha kuku
Chukua kinyesi cha Ng'ombe weka kwenye gunia kisha mwagia maji kila siku kwa muda wasiku 7 kisha geuza upande wa pili utakuta funza tayari wamezaana.

Karibu pia upate vifaranga bora vya Kuku wa kienyeji, Chotara, Malawi na Kloiler, Bata mzinga na Kanga pia.
Mawasiliano 0752093038
 
Attachments

  • 18010589_128811530995512_7929575659043006717_n.jpg
    18010589_128811530995512_7929575659043006717_n.jpg
    27.9 KB · Views: 244
  • 18033303_128968150979850_698485185572255482_n.jpg
    18033303_128968150979850_698485185572255482_n.jpg
    97.4 KB · Views: 220
Mkuu Chasha shukhrani kwa somo zuri kabisa, sasa swali langu ni je endapo umepima malighafi na kujua DCP imepungua au imeongezeka nini kinapaswa kufanyika ili upate ili DCP inayohitajika? Na kama hutojali kuelezea DCP huwa inapimwaje?
Sory ndg! Nahitaji kujua maana ya hiyo DCP inamaana gani? Km hutojali nifafanukie japo kidogo! Asante
 
Back
Top Bottom