Nisaidie kuijua songea

xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,059
2,000
Kule kitumoto kina uhakika tena cha haja haswa... Unakatiwa steki tupu au mapendekezo yako kukatiwa na mifupa,,maajab bei ya stek kilo 6000,na mchanganyiko kilo 5000 hapo imeshatengenezwa kabsaa,,naiman ndio sehem pekee wanayouza stek ya kitimoto bila ngoz wala mifupa,,nenda mbinga ukaone vijana matajiri kwa ajili ya kilimo tu
 

Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,594
2,000
naomba gharama za gesti za bei ya chini kwa wanaojua songea pamoja na mashamba kwasababu hili ndilo lengo langu kuu kwenda huko
Simple tu..... ukiwa serious na ukakosa msaaada kabisa....

Nina mwanangu yupo kule.... mwenyeji tu atakupokea na atakupa chanell zoote....

Wewe tu.

Mi niliendaga kwake... songea maisha maraisi saana.... pesa sio saaana zaid ya kilimo... ufugaji... vifaa vya pikipiki na tungi..

Hapo utapiga pesa
 

Maserati

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
11,615
2,000
Duh!!! Nenda, mie kwetu huko mkuu. Lakini kuhusu mashamba sijui. Wakarimu mno jiandae na kidongo chekundu
 

kikale

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
410
500
Haya nne nibwela bombiii..
Mashamba km unataka ya mpunga wilaya ya namtumbo ktk vijiji hv..Magazine, Amani au Matepwende ya lusewa huko yapo very cheap..pia kisauka,mabonde ya MTO lukimwa,jiungeni au namali(kata ya ligera)..pia songea vijijini vijiji vya nambendu na Zimbabwe huko hutotumia mbolea yoyote kwa mahindi wala mpunga kwa maana ardhi yake ni very fertile.
Maharagwe pia yanalimwa sana tarafa ya mkongo wilaya ya namtumbo na ktk wilaya ya mbinga....ufuta na soya ni namtumbo hasa kijiji cha limamu au tarafa ya mkongo kwa ujumla..ukitaka ndizi zipo nyingi sana unaweza.
Ukitaka biashara ya samaki wa ziwa Nyasa basi tembelea hadi lituhi,Nyasa huko km unauhakika wa soko LA dagaa Nyasa basi ni fursa mzuri..ila kuwa makini na mabinti wa kimanda ukizingua ukajifanya kugegeda ukatia mimba watakuroga.
Kahawa mbinga ndio nyumbani.
 

dindilichuma

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
1,087
2,000
Songea guest ya chini kabisa ni 5,000 na lodge ni 10,000 mpaka 25000
Halafu kuna hotel ambazo zinaanza 25000 mpaka 150,000
Mashamba inategemea na eneo kuna mashamba ambayo hekari ni 80,000 kuna 100,000 na kuendelea kutegemea na shamba hasa eneo lilipo
 

kikale

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
410
500
Songea guest ya chini kabisa ni 5,000 na lodge ni 10,000 mpaka 25000
Halafu kuna hotel ambazo zinaanza 25000 mpaka 150,000
Mashamba inategemea na eneo kuna mashamba ambayo hekari ni 80,000 kuna 100,000 na kuendelea kutegemea na shamba hasa eneo lilipo
Huyu mjasilia Mali usimpeleke ugabe au top one in mkuu.Ila songea ni mji ambao una guest house nyingi kuliko maelezo na cjajua kwa nn
 

upendodaima

JF-Expert Member
May 23, 2013
3,926
2,000
Songea guest ya chini kabisa ni 5,000 na lodge ni 10,000 mpaka 25000
Halafu kuna hotel ambazo zinaanza 25000 mpaka 150,000
Mashamba inategemea na eneo kuna mashamba ambayo hekari ni 80,000 kuna 100,000 na kuendelea kutegemea na shamba hasa eneo lilipo
Hotel ya 150K ni ipi mkuu?Papoki angalau na uzuri ule ndo kwanza 25k to 40k.
 

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,551
2,000
[QUOTEmiminimkulimaakachekasana, post: 21537033, member: 436000"]yeyote tu unaweza kukadiria bei yake kwa eka[/QUOTE]
80 hadi laki.
Karibu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom