jamani wataalm wa wanyama naombeni msaada
kuna stray cat ameinukia kwangu mdogo sana na kila nikimfukuza anarudi. nimeamua kumhudumia chakula kama paka wangu kabisa. kila siku maziwa samaki ni normal kwake . Baadae nimekuja kugundua ni kajike na sitaki paka wazaliane kwangu maana sina pa kuwapeleka. naombeni suluhisho kama kuna njia yoyote ya kumzuia asizae hapo kwangu baadae