Vyuo vya mifugo

saratoga1285

Member
Dec 15, 2016
29
18
Naomba msaada kwa mwenye mawasiliano chuo cha mifugo Tengeru,nampago Mdogo wangu nimpeleke huko maana anapenda na amepata c-chemistry,c-biology,c-math,na c-geog amechaguliwa EGM Mwenge sekondari
 
Tena ana maksi nzuri atapata sponsor ya gov google LIVESTOCK TRAINING AGENCY LITA-TENGERU
 
Back
Top Bottom