Msaada:

malu02

Member
Oct 5, 2016
23
37
Wakulima wenzangu naomba yeyote mwenye ufaham wa kiliimo cha karanga anijulishe ABC zake hasa ktk hali ya hewa zinapostawi sana, kiasi cha mvua zinazoitajika, udongo na hata magonjwa yanayozikumba na jinsi ya kukabiliana nayo.

Nawasilisha...
 
Back
Top Bottom