Kilichotokea baada ya kuwaweka kuku rangi

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,114
2,000
IMG_20170604_125931.jpg

Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback'

1. Juzi ilikuwa ni miongoni mwa siku ambazo kama mwehu
nimejikuta nikicheka peke yangu kwani baada ya kuwapaka
ile rangi wa kwanza kuwakimbia alikuwa mama yao, pia kuku
wengine walilazimika kukimbia banda baada ya kuwaona vifaranga
wale wa Rangi rangi kwani nimewapaka rangi za njano, kijani, nyekundu
na bluu.

2. Nimegundua kunguru anawaogopa sana wale kuku, nakusudia
hawa kunguru wenye baka jeupe shingoni.

3. Bado sijapata uthibitisho kama kipanga hatawakamata ingawa kwa
mwewe ambaye leo nimemuona akizungukazunguka hajashuka kuwakamata.

4.Zoezi limesababisha kifo cha kifaranga mmoja, kwani yupo mtetea aliamua
kupambana na vifaranga kwa nguvu kubwa akijua ni maadui, kwa sasa amewazoea
na nmejifunza mara nyingine haitatokea

Ahsanteni wadau kwa ushauri.
 
mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
14,699
2,000
Upo sqhihi kabisa mkuu, ukiwapaka hiyo rangi hata mwewe habebi kifaranga hata mmoja. Unapowapaka hakikisha rangi imekolea sana kisha paka mwili wote na uwapake wakati wa jua kali ili waweze kukauka kwa haraka.

Waweza changanya rangi kwa mwana ya wengine wapake rangi ya blue, wengine njano, wengine nyekundu n.k ila koleza sana rangi. Kwa uzoefu wangu rangi hiyo hudumu mwilini mwa kifaranga kwa miezi isiyopungua mitatu. Big up
 
MulRZGM

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
998
2,000
View attachment 519149
Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback'

1. Juzi ilikuwa ni miongoni mwa siku ambazo kama mwehu
nimejikuta nikicheka peke yangu kwani baada ya kuwapaka
ile rangi wa kwanza kuwakimbia alikuwa mama yao, pia kuku
wengine walilazimika kukimbia banda baada ya kuwaona vifaranga
wale wa Rangi rangi kwani nimewapaka rangi za njano, kijani, nyekundu
na bluu.

2. Nimegundua kunguru anawaogopa sana wale kuku, nakusudia
hawa kunguru wenye baka jeupe shingoni.

3. Bado sijapata uthibitisho kama kipanga hatawakamata ingawa kwa
mwewe ambaye leo nimemuona akizungukazunguka hajashuka kuwakamata.

4.Zoezi limesababisha kifo cha kifaranga mmoja, kwani yupo mtetea aliamua
kupambana na vifaranga kwa nguvu kubwa akijua ni maadui, kwa sasa amewazoea
na nmejifunza mara nyingine haitatokea

Ahsanteni wadau kwa ushauri.
Sasa mama yao atakua anawapa joto kweli kam ilvyo ada..,,,? Mana bdo tudogo tukuku uto
 
mbarika

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
2,556
2,000
View attachment 519149
Nilipoeleza changamoto ninayoipata kuhusu ndege ambaye wadau mmeniambia anaitwa kipanga wengine mlinishauri kuwapaka Rangi kuku, Nimelifanya hilo zoezi na huu ni mrejesho 'feedback'

1. Juzi ilikuwa ni miongoni mwa siku ambazo kama mwehu
nimejikuta nikicheka peke yangu kwani baada ya kuwapaka
ile rangi wa kwanza kuwakimbia alikuwa mama yao, pia kuku
wengine walilazimika kukimbia banda baada ya kuwaona vifaranga
wale wa Rangi rangi kwani nimewapaka rangi za njano, kijani, nyekundu
na bluu.

2. Nimegundua kunguru anawaogopa sana wale kuku, nakusudia
hawa kunguru wenye baka jeupe shingoni.

3. Bado sijapata uthibitisho kama kipanga hatawakamata ingawa kwa
mwewe ambaye leo nimemuona akizungukazunguka hajashuka kuwakamata.

4.Zoezi limesababisha kifo cha kifaranga mmoja, kwani yupo mtetea aliamua
kupambana na vifaranga kwa nguvu kubwa akijua ni maadui, kwa sasa amewazoea
na nmejifunza mara nyingine haitatokea

Ahsanteni wadau kwa ushauri.
Rangi gani mkuu ya silk au??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom