Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau naomba msaada kwa wajuzi, nifanye ili niwe naangalia ligi ya uingereza kupitia simu ya mkononi. Nimejaribu kila njia sijafanikiwa, sasa wajuzi hebu nipeni elimu maana mie husafiri sana...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nina monitor ya nchi kama 14 hivi nataka niiconnect na deki au king'amuzi niangalie burudani kupitia hiyo monitor iwe sasa kama tv hivi 1) Je inawezekana? 2) Kama inawezekana niwe na kitu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini JF Experts. Cache ni nini? Maana kwenye App nyingi naona hili neno,lina maana gani kwenye Apps?
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Heshima wakuu, naomba mwenye kujua namna ninavyoweza kupata game la draft kwenye pc anisaidie ujanja, maana nimejaribu ku-google lakini sijapata.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila nikiingiza tu flash yangu kwenye computer naandikiwa "you neeed to format the disk in drive F before use it. Do you want to format." nikikubali inaleta tena message " the disk is write...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
habari ya boxing day wakuu? Nimeleta uzi kwenu ili tujadili na kutoa mawazo yetu ambayo yatatusaidia kuondokana na unyonge uliopo katika sector ya IT. Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu nani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza angalia hii snap Hapa ni combine speed ya Airtel, Voda na Tigo Sasa Introduce you the revolutionary software "Connectify Dispatch" Hii kitu ndo inafanya hio magic na pia kwa kitu...
22 Reactions
74 Replies
10K Views
Unampa asilimia ngapi mdogo wangu kwa blogspot hii Gospel King
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Wanabodi. Naomba msaada jinsi ya kuunganisha kifurushi cha DSTV cha juu kuliko kile cha Mwanzo bila kupiga Huduma kwa wateja. Mfano, Mwanzo ulilipia kifurushi cha Compact Tsh 82,500 kikaisha muda...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau hii app inatoa tafsiri sahihi !
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina ka tecno h5 kangu nakatumia kusikiliza mziki mana kanakaa na chaji,ila tatizo mziki hauishi kanajizima jamani,shida ni nini??? Nishascan sd card lakin tatizo bado lipo[emoji30].... cc...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanajamvi habar ya leo! Naomben msaada wa namna ya kufunga/kuondoa account yangu ya Facebook ikiwa nimesahau password yake, nasiitumii ila NAONA inatumika na mtu anapost PC zake kama vile yake ila...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Kama heading hapojuu naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeza email address ya mfano wa 124ali@muuzamchicha.co.tz /124ali@muuzaduka.com Natanguliza shukrani.
1 Reactions
29 Replies
27K Views
Naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku configure hotspot kwenye PC ili device zingine zenye kutumia internet ziweze kuwa shared.... last time nilijaribu kwa kutumia command ikawa inakataa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Naomba msaada mwenye hii DDI utility software na keys zake wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi kwenye muelekeo wa jinsi dunia inavyokwenda sasa jambo kubwa linalotegemea kubadilisha dunia ( the next big thing) katika ulimwengu wa tehama ni swala linaloitwa internet of things kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tafadhali, natanguliza shukran za dhati, mwenye nayo kifaa, tajwa hapo juu, nimepata majanga kwa kwel nimekanyaga mwenyewe kwa hyo nikiwasha inaonesha mawino nimekosa aman kabisa. Karibu mwenye...
0 Reactions
3 Replies
570 Views
Nawezaje kuifunga simu iliyoibiwa ikiwa siku install app yoyote ya kuniruhusu kufanya hivyo lakini nikiwa na IMEI yake. NB. siwezi kwenda polisi kwani risiti ilipotea. Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuuu nambeni nijuzwe namna gani naweza kucreate bios ili niweze kuenjoy PS 2 games katika pc yangu Nakwama kwenye hiyo stage ya kucreate bios so nilikuwa naomba kwa mwenye ujuzi juu ya hili...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Back
Top Bottom