Kuna baadhi ya simu, huja na progam ya ulinzi wa simu, iwapo utakua umeiseti mapema kabla ya kuibiwa, ndipo unaweza ukailoki au kuanloki ukiwa hapo ulipo. program huwekwa kinye kipengele cha security ambacho kipo kwenye seting, program inaitwa anti theft. kwenye program hii inakupa nafasi ya kuingiza namba za kupokea sms ya dharula iwapo laini ya simu yako itakapo ondolewa na kuwekwa laini nyingine. Laini mpya iliyowekwa itatuma sms kwa namba ulizo chagua, lengo ikiwa kukujuza laini mpya inayotumika kwenye simu yako, simu zingine zina nafasi zaidi ya namba moja ya kutumi ujumbe wa dharula, ila pia ina remotely ambayo ndani yake kuna : lock remotoly: unlock remotely: Retreve anti theft na Destroy data remotely. na maelekezo yake ya kupata matokeo ya kile unachokusudia kufanya. nadhani utakua umepata mwanga kidogo japokua sio mtaalamu, inawezekana nisijue kuelezea ili kueleweka.