Hii ndo simu ya kwanza kutoka kampuni ya Tecno kua inatumia Android 6.0 yaani maarufu kama MARSHMALLOW,baada ya kutoka w4 imedhaniwa kua Tecno wamemaliza mfululiza wa Y series ambapo simu ya...
Nina laptop aina ya toshiba na nilikuta window 7 mimi nikabadili kuweka xp ,sasa chaajabu kila nikijaribu naona zinajaa window tu badala ya ku delete za zamani ,zina zidi kuwa nyingi zipo mbili...
ukiachana na maswala ya mapambo kazi yake kubwa ni nini kwasababu haya madini yanauzwa bei ghali sana wakati huo kuna madini mengi yanafanana na dhahabu na almasi na hayana thamani
na kuna watu...
Microsoft leo wamezindua PC yao mpya ya all in one ambayo imewalenga zaidi watu wazalishaji mambo ya 3d, graphics etc.
Brief specs
28-inch PixelSense touchscreen with 3:2 aspect ratio
Quad-core...
Kwa wataalam wa masuala ya video editing kuna kazi tulishut kwa 60fps ambayo ni ntsc. Resolution ni 1920 x 1080. Sasa imeshahaririwa na kuwa exported. Nataka niihamishie kwenye pal na quality...
Tanzania is among the countries in Africa with the fastest economic growth recording the highest economic growth in 2013 of up to 7.3 percent, according to Africa Development Bank, with the major...
Juzi nilikuwa natumia laptop yangu kama kawaida baadae nikachomeka powerbank kwenye port moja ya laptop, ilizima ghafla na haiwaki tena, msaada nn tatizo
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili, matumaini yangu wazi kabisa hamjambo na mnaendelea vizuri.
Nimepatwa na utata kidogo kuhusiana na simu aina ya Tecno C9, hiyo ni baada ya kuchanga viela...
Natumia Tecno H5 nime kwenda dukani kununua betri jipya original nimelichaji kwa kuzingatia maelekezo niliyo pewa lakini linazingua utunzaji wa moto.Nikarudi dukani wakanishauri natakiwa ni restor...
Naomba kwa yeyote anayejua application ambayo itarudisha namba zilizopotea kwenye simu anisaidie.Sababu za kupotea ni kwamba leo nilienda kwa fundi simu halafu akaiflash na namba zote zikafutika.
Information Technology (IT) have various career paths one can choose to take. IT nowadays facilitating operations of many other sectors including banks, hospitals, etc
IT Professionals needed to...
what causes/caused the problem?
-Opensubtitles.org updated their servers ,that uncovered latent bugs in the very dumb HTTP support of the VLSub extension.
NB: Advised to skip to/and use the...
1G ni simu za kizazi cha kwanza kabisa katika teknolojia ya mawasiliano katika mfumo wa bila waya (wireless). Wakati huu ndio simu za mkononi (zikiwa kubwa kwelikweli enzi hizo) zilianza...
Kama nilivotanguliza kwenye head baada ya pitapita zangu katika forum mbalimbal hatimae nimefanikiwa kuupdate tecno c8 to android mashamallow a.k.a android 6 now naenjoy muonekano mpya kabisa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.