Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanajamvi Niliacha laptop yangu nyumbani sasa mtoto amechezea sasa screen imegeuka chini juu! yaani inavyodisplay picha zake zote ndio iko hivyo.Namimi bado sio mzoefu sana Ata sielewi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimejaribu kufanya setting up ya akaunti ya facebook kwa IPad 3 nimechemka, yaaani hatua ya mwisho kabisa inagoma ku install
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Waungwana nadhani muko wazima Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Habari Zenu Kama kichwa cha habari kilivyo nimejitahidi ila nimechemka Kinachonishangaza ni Kwamba Line Zinge Zina Support 3g Lakini TIGO hai support 3g ina andika E.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni ya Nokia kutoka nchini Finland imesema kuwa inaishtaki kampuni ya Apple kwa kukiuka haki 32 za kiteknolojia. Kesi hiyo ya Nokia imewasilishwa katika mahakama tatu nchini Ujerumani na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumia tecno W4, nkijaribu kukonnect na pc kwa usb haisomi, au hata nikitaka kuconnect na deki ya dvd haisomi, inanipa options tatu zote hola. Msaada wakuu nifanyeje? simu ni android 6 marshmallow.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajamii!! Ninaomba kwa anayejua anisaidie, ninataka kununua laptop nzuri na mpya kabisa. Bahati mbaya mimi si mtaalamu kabisa wa kompyuta (laptop) ingawa ninajua kutumia kifaa hicho. Ninaomba...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Ndugu wanajf sina uzoefu na nilichokitaja hapo juu,, mdogo wangu kaniomba nimuwezeshe kumgaramia kupata ujuz huo, yeye yupo kjjn hajui hicho chuo atakapo kipata hivyo natakiwa nitafute chuo na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimeibiwa simu yenye vitu vya maana.. Ivi amna namna naeza kuipata
1 Reactions
9 Replies
807 Views
Msaada jaman kwa anayejua hyo kitu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu wa humu naomba kuuliza Kwamba juzi nilidownload application inaitwa booster katika pc yangukatika kuifungua ikaonesha kuwa AMD processor is out to date need for update je kuna uwezekano...
0 Reactions
3 Replies
734 Views
Wadau natafuta app gani ya android ambayo nikipiga picha kwa simu inasave automatically na hata ikitokea nimefuta picha zote basi inaweza kunifanya nikazipata tena
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SAMSUNG GALAXY S6 EDGE SM G925F haisomi line inaandika emergency only baseband haisomi, imei haipo/null kama kuna mtaalaam anaweza anisaidie nipo arusha mjini maeneo ya stand kubwa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamii ninaomba kufahamu kuhusu hii app inasaidia nini ktk simu kwasababu ninaona inakula space kwa mb70 ukiupdate ninatumia tecno w4,app yenyewe ni android system webview
1 Reactions
8 Replies
2K Views
salaam wakuu. nahitaji msaada nini nifanye ili pc yangu iweze kutunza moto. modeli ya pc husika ni lenovo thinkpad L412 Leo ni siku ya nne najaribu kuichaji inagoma. iniandikia ujumbe huu, "pluged...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
habari za mchana wana jf naombeni mnisaidie tofauti kati ya Bits, Kilobytes, Megabytes, Gigabytes, Terabytes, Petabytes na Exabytes.
1 Reactions
2 Replies
753 Views
Nilikuwa nahitaji kuweka application kwa playstore ila kuweka Inahitajika $25. Ila tatizo payment method lazima utumie PayPal nami PayPal account sina. Kama kuna ajuaye kutumia payment method...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Nipo dar natafuta komputa aina ya laptop ya bei nafuu naweza kupata wapi?? Na kwa bei gani.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wakuu habari zenu Ni jinsi gani naweza trace/track namba ya mtu na kutambua sehem mtu/mmiliki wa namba husika alipo/alipo kuwepo (kama atakua hayupo hewani) , either kwa kutumia app au njia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom