Tecno H5 kujizima ikiwa inaplay muziki

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
755
500
Nina ka tecno h5 kangu nakatumia kusikiliza mziki mana kanakaa na chaji,ila tatizo mziki hauishi kanajizima jamani,shida ni nini???

Nishascan sd card lakin tatizo bado lipo....

cc Chief-Mkwawa.

Halafu pia nakauza mwenye anaitaka pm me
 

PNC

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
7,931
2,000
Nenda Setting tafuta neno backup and reset kisha bonyeza itakuletea neno reset phone click hapohapo kisha simu itajizima na kujiwasha japo kwa mara ya kwanza itachukua muda mrefu kidogo kuwaka
ILA TATZO LITATATULIKA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom