fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,239
Wadau naomba msaada kwa wajuzi, nifanye ili niwe naangalia ligi ya uingereza kupitia simu ya mkononi. Nimejaribu kila njia sijafanikiwa, sasa wajuzi hebu nipeni elimu maana mie husafiri sana vijijini sio rahisi kupata mahali kuna dstv