Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,937
- 1,047
habari ya boxing day wakuu?
Nimeleta uzi kwenu ili tujadili na kutoa mawazo yetu ambayo yatatusaidia kuondokana na unyonge uliopo katika sector ya IT.
Kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu nani yupo juu kitechnolojia kati ya wakenya na watanzania kila mtu amekuwa akisifia nchi yake ipo juu zaidi ya nyingine bila hata ya kutoa mifano je ni technolojia ipi ambayo wamevumbua?
Chukula mfano kwamba kenya wapo juu ya watanzania je ni kweli sisi tunashindwa kufikia level ya wakenya? kwanini tusiwaalike kwenye camps ambazo zipo tanzania na kuja kutufundisha? kwanini wasiwe wanaandika hapa jukwaani hatua ambazo walizitumia kufikia hapo walipo?
mchango wako ni muhimu sana ili watu wayatumie mawazo yako kubadilisha fikra katika uwanja wa technolojia.