Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 726
- 373
Tafadhali, natanguliza shukran za dhati, mwenye nayo kifaa, tajwa hapo juu, nimepata majanga kwa kwel nimekanyaga mwenyewe kwa hyo nikiwasha inaonesha mawino nimekosa aman kabisa. Karibu mwenye kuuza au anayefahamu wap wanauza mi nipo mkoani.