Msaada: Nataka kutumia monitor kama TV

travellwr

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
256
225
Wakuu nina monitor ya nchi kama 14 hivi nataka niiconnect na deki au king'amuzi niangalie burudani kupitia hiyo monitor iwe sasa kama tv hivi
1) Je inawezekana?
2) Kama inawezekana niwe na kitu gani hasa?
3) Na je hiko kitu Tanzania kipo na vipi bei yake,
NB: KAMA HIKO KITU UNACHO TUNAWEZA TUKAFANYA BIASHARA UNIUZIE
nawasilisha
 
Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,464
2,000
travellwrINAMAL9010045 said:
wakuu nina monitor ya nchi kama 14 hivi nataka niiconnect na deki au king'amuzi niangalie burudani kupitia hiyo monitor iwe sasa kama tv hivi
1) je inawezekana?
2) kama inawezekana niwe na kitu gani hasa?
3) na je hiko kitu tanzania kipo na vipi bei yake,
NB: KAMA HIKO KITU UNACHO TUNAWEZA TUKAFANYA BIASHARA UNIUZIE
nawasilisha
Nunua USB TUNNERNunua USB TUNNER itamaliza shida yako nenda kwenye maduka ya computer accessories zipo nyingi tu kuanzia 35,000 + hii ni kama utatumia OS kama windows au OS unayo itumia wewe kwenye pc yako,lakin kama una monitor pekee na hauhitaji kupitia kwenye OS basi tafuta vga to av/rca converter boX pia zipo maducani nyingi ti hasa maduka ya computer accesories lakin pia na cable zinazo convert pia zipo lakin nyingi huwa hazikubali na zinachagua monitors baadhi zinakubali baadhi zinagoma hivyo box ni bora zaid.
 
thanks mkuu
 
cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
985
500
ninayo monitor ya dell inch 20 bado mpya kabisa ina tv ndan yake, hii haina haja ya ku conect na kitu chochote zaid ya kingamuz chako tu, kama uko tayar ni PM tufanye biashara
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom