CACHE ni nini?

Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
333
225
Habarini JF Experts.
Cache ni nini?
Maana kwenye App nyingi naona hili neno,lina maana gani kwenye Apps?
Hizi ni data ambazo kifaa chako huifadhi kama kumbukumbu ya matumizi yako ili kukupa huduma faster pale utakaporudia process ile ya mwanzo. Chukua mfano wa Web Cache; unapotembelea tovuti kwa mara ya kwanza inaweza kuchukua muda kidogo kuload lakini baadae ukifungu tovuti ile ile load speed yake inakua haraka sana. Cache zipo aina tofauti kuna CPU cache, Web Cache n.k..lakini zote zinafanya kazi sawa kusave muda na bandwidth.
 
Mbushuu

JF-Expert Member
Aug 3, 2011
1,947
2,000

Ila kwangu hzo cache znafanya simu yangu kuwa slow sana
 
Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
333
225
Ila kwangu hzo cache znafanya simu yangu kuwa slow sana
Inawezekana ikawa sababu lakini pia uangalie visababishi vingine kama kujaa kwa storage ya simu yako,kama utashindwa kufanya manually, kuna applications kibao za kukusaidia kupunguza files zisizokua muhimu. Kama device yako ni simu ya Android jaribu kutumia ES File Explorer au Clean Master.
Kufuta CACHE ni rahisi kwa Android, nenda kwenye Settings... >Apps... > fungua App unayoituhumu.... utaona button inayosema Clear Cache
 
Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,206

Ahsante mkuu kwa maelezo swafii
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,749
2,000
Hizi ni data ambazo kifaa chako huifadhi kama kumbukumbu ya matumizi yako ili kukupa huduma faster pale utakaporudia process ile ya mwanzo. Chukua mfano wa Web Cache; unapotembelea tovuti kwa mara ya kwanza inaweza kuchukua muda kidogo kuload lakini baadae ukifungu tovuti ile ile load speed yake inakua haraka sana. Cache zipo aina tofauti kuna CPU cache, Web Cache n.k..lakini zote zinafanya kazi sawa kusave muda na bandwidth.
Wewe ni Great thinker wa Mwisho mwisho uliesalia humu JF. Shukran sana kwa Maelezo mafupi yenye kujitosheleza
 
mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,136
2,000
Hizi ni data ambazo kifaa chako huifadhi kama kumbukumbu ya matumizi yako ili kukupa huduma faster pale utakaporudia process ile ya mwanzo. Chukua mfano wa Web Cache; unapotembelea tovuti kwa mara ya kwanza inaweza kuchukua muda kidogo kuload lakini baadae ukifungu tovuti ile ile load speed yake inakua haraka sana. Cache zipo aina tofauti kuna CPU cache, Web Cache n.k..lakini zote zinafanya kazi sawa kusave muda na bandwidth.
Hujakosea mkuu.
 
Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
333
225
Kuna kitu inaitwa junk n nn
"Junk files" ni jina la kisanii linalotumika kuwakilisha mafaili na folder yasiyokua na umuhimu/taka kwenye storage ya simu au computer yako. Mfano kila unapo-install program fulani kwenye device yako ile program hutengeneza folder(workspace) kwa ajili ya kufanyia kazi mule, sasa baadae unapoondoa (unistall) ile program lile folder na files zilizopo ndani hubakia kwenye storage na hizi huchangia kujaza space.
 
Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
333
225
alafu kuna cookies.... sijui ni nn
Umewahi kujaza form yeyote kwenye tovuti? Wengi watasema ndiyo maana ata ku-login hapa JF lazima ujaze form yenye username na password.. Pale unapofanya hivi browser(Chrome, Edge, Opera) itakuomba ruhusa ya kukumbuka password na username, baadae utakapofungua ile website utaona username na password yako ziko pale kwenye form zikiwa highlighted kwa rangi ya njano.
Hivyo basi cookies hutumika na tovuti kukumbuka taarifa muhimu za watembeleaji wa tovuti husika iwe ni majina, passwords, shopping cart customization.
 
PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,685

mkuu nieleweshe huwa nakutana na baadh ya websites zinazosema cjui zina use cookies kuimprove user nini na nini... .huwa wana maana gan
 
Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
333
225
mkuu nieleweshe huwa nakutana na baadh ya websites zinazosema cjui zina use cookies kuimprove user nini na nini... .huwa wana maana gan
Hii inamaanisha ukiiruhusu website kuhifadhi cookies kwenye pc yako, wao watakua na uwezo wa kukuhudumia kulingana na mwenendo wako unapokua kwenye ile tovuti husika. Mfano tovuti ya Flipboard.com, tovuti hii ina mchanganyiko wa habari na makala kuhusu topic mbalimbali hivyo pale utakapo kubali kupokea cookies zao hii itawasaidia kukuletea zinapohisiana na vile ulivyoangalia wakati uliopita.
 
PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,685
2,000
Hii inamaanisha ukiiruhusu website kuhifadhi cookies kwenye pc yako, wao watakua na uwezo wa kukuhudumia kulingana na mwenendo wako unapokua kwenye ile tovuti husika. Mfano tovuti ya Flipboard.com, tovuti hii ina mchanganyiko wa habari na makala kuhusu topic mbalimbali hivyo pale utakapo kubali kupokea cookies zao hii itawasaidia kukuletea zinapohisiana na vile ulivyoangalia wakati uliopita.
asante nimekuelewa mkuu... ubarikiwe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom