MSAADA JINSI YA KU CONFIGURE HOTSPOT KWENYE PC

Petro Oswald

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
2,323
1,713
Naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku configure hotspot kwenye PC ili device zingine zenye kutumia internet ziweze kuwa shared.... last time nilijaribu kwa kutumia command ikawa inakataa ilikua inakataa... ila kuna PC nyingine nili configure ikakubali sasa sijajua kwenye PC yangu kuna tatizo gan ni drivers au la.... na kama ni drivers naipata kupitia source gani...?? natumia windows 10
 
hii apa mhotspot
http://mhotspot.com/mHotspot_setup_latest.exe
 
jaribu kutumia hiyo software
 
Attachments

  • OSTotoHotspot_24984.1.9.4.rar
    9 MB · Views: 27
Maa yako mzazi mbona anajiuza?
We pussy
Nmepitia replies na post zako.
Nmeona ni kawaida yako kupost shit na kucrash watu.
Sireply tena shit zako coz unaishi kwa huu ushoga
Hii tabia ya kike
Tafuta kazi ya kufanya. Hatununui humu mashoga.

Ushauri wa bure
 
Una muda kweli mpaka unapitia post zangu? Are you in love?

Hizi ni tabia za kike when they say i hate you they mean they are in love.
 
Tafuta program ya mhotspot au connectifier
sasa mkuu hiyo program itarun vipi wakati kuna driver naambiwa inamiss?? ungenisaidia namna ya kupata driver ya kuhost mfumo mzima wa hostpot from my computer to other devices...
 
Hizo program mnazosema nidownload nimejaribu kuinstall lakini zinafeli kwasababu PC yangu kuna driver ya kuhost hotspot imemiss although huwa narun online driverpack solution... so nadhani alienielewa atajua tatizo langu lilipo.... natumia Laptop aina ya TOSHIBA Satellite C55-B1325, windows 10
 
ndo driver ipi hio? hotspot huhitaji adapter ya wifi tu. pc yako haina wifi?
 
Back
Top Bottom