Msaada; Jinsi kufunga au kublock account ya Facebook ikiwa nimesahau password yake

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Wanajamvi habar ya leo! Naomben msaada wa namna ya kufunga/kuondoa account yangu ya Facebook ikiwa nimesahau password yake, nasiitumii ila NAONA inatumika na mtu anapost PC zake kama vile yake ila ikiwa na detail zangu zote,

Mwenye upeo anielekeze wadau, karibun sana wataalamu!
 
Sidhani kama unaweza kublock account kama hujalogin. Vinginevyo nahisi watu wangekuwa wanablokiana sana account
 
Wanajamvi habar ya leo! Naomben msaada wa namna ya kufunga/kuondoa account yangu ya Facebook ikiwa nimesahau password yake, nasiitumii ila NAONA inatumika na mtu anapost PC zake kama vile yake ila ikiwa na detail zangu zote,

Mwenye upeo anielekeze wadau, karibun sana wataalamu!
hiyo account umeibiwa.. na hili tatizo hutokea pale unapoingia kwenye links usizozijua ndio zina-capture password na username.. kuipata hiyo account haiwezekani nina uhakika aliyekuibia hiyo account amesha-change password, number ya simu/email. na atakua anatumia ku-post habari,,,. haiwezekani kuipata tena...
 
Fanya password recovery , nenda kwenye login page ya facebook kenye PC kisha nenda kwenye forgot password.
 
Fanya password recovery , nenda kwenye login page ya facebook kenye PC kisha nenda kwenye forgot password.
mkuu kitu kinacho recovery account ni no. ya simu na email na hizo account zikiibiwa kitu cha kwanza kubadilisha ni hicho ili kuzuia recovery isifanye kazi..
 
mkuu kitu kinacho recovery account ni no. ya simu na email na hizo account zikiibiwa kitu cha kwanza kubadilisha ni hicho ili kuzuia recovery isifanye kazi..
Facebook wanakumbuka email na password za zamani kwa sababu hii exactly, nashindwa kupaste link ya facebook hapa jf mobile inaibadili ila google hacked facebook account, fuata link ya kwanza ya facebook kuna njia za kuokoa account iliyoibiwa ila haifanyi kazi 100% of the time kutegemea na mwizi uwezo wake.
 
Haiwezekan hyo maana you can't block your facebook account kama haufahamu password ila nahc unaweza kufanya hvo kama kuna uwezekano wa kureset password then you can do it
 
Back
Top Bottom