Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu habari zenu Ni jinsi gani naweza trace/track namba ya mtu na kutambua sehem mtu/mmiliki wa namba husika alipo/alipo kuwepo (kama atakua hayupo hewani) , either kwa kutumia app au njia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana niliingiza flash yangu kwenye PC, ikaniletea ujumbe wakuitaka niifotmat badala ya kufunguka, na mimi sikutaka kufanya hivyo kwani kwenye flash kuna docs na files za muhimu za ofisini. Hivyo...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Wakuu naomba ushauri nina 570000 nataka kununua laptop kwa matumiz ya kawaida yaan kuangalia movie, series, gaming, ku download na shughuli ndogondogo kama kuchapa baadhi ya doc. kuhifadhi data...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba mnielekeze jinsi ya kupost picha katika mtandao huu natumia cm Tecno H5
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. Kwa...
17 Reactions
249 Replies
56K Views
Kila jambo huwa na madhara kwa mara ya kwanza na nadhani hata aliyegundua umeme alipata sekeseke la kupgwa shot au pengine aliuawa kwa umeme. Habar zenu wana JF, nimeifanyia rooting Vodafone...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wajuzi wa mambo salaam. Mimi ni mpigapicha mkongwe (nilikuwa nikitumia Camera kubwa aina ya Pentax - ya mikanda) ila ni mgeni katika kutumia DSLR. Nimenunua Nikon D5100 na naomba kujua setting...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nimepata changamoto kwenye laptop yangu,naamini kupitia uzi huu nitapata msaada..Tatizo liko namna hii wakati nauninstal kaspersky ikanileta maneno yakimaanisha ili niweze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina j5 ina siku mbili ni ya 2015 3g ina glass protector na kava la kuvutia vyote vipyaaaa nataka nibadilishane na mwenye j7 ya 4g ya 2015 mpyaaa.... njoo PM tuyajengeeeee naitamani sana hio...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ninaomba mniazime utaalamu wa namna ya ku apply emoj (zile za whatsapp)kwenye posts za hapa jf, 'cause mimi niki apply from my phone's...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa naomba kwa mwenye ufahamu wa hili anisaidie, simu yangu nimeirestart ili nianze upya baada ya kumaliza ikanidai niweke google account. Nimejarb kuweka niliyokuwa naitumia...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Hellow wanajamvi natumaini mko vizur,Naombeni msaada kwenu nina computer yangu Asus mwanzoni betri nilikua nikiichaji ilikua ina uwezo wa kukaa masaa manne lakin saizi naichaji inaonyesha inajaa...
0 Reactions
5 Replies
870 Views
Habar wana teknohama, naomba mwenye ujuzi au ufahamu kuhusu app ambayo naweza kuinstall kwenye simu nikatumia kama modem kwenye computer ukiachana na mambo ya tethering na hot-spot ya simu, asante.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau, Nimefungua blog hivi punde, sasa kumekuwa na kitu hiki cha ku-host blog domain ili kuwa katika mfumo wa world wide web, sasa bado sijajua nini faida zake na gharama zake. Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji Kununua premium templates kwa ajiri ya blogger ...Mwenye nazo ani PM tufanye bihashara
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Habari za leo wakuu Naomba kujua jinsi ya Ku update king,amzi cha startime Kwa mwenye uelewa na hili anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, nataka ni upgrade hiii simu iende kwenye better version. Hizi ni sifa zake hapa chini, je inawezekana , njia gani rahisi bila kuleta madhara kwa device
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nashindwa kuziona videos ktk app ya JamiiForums.nikiiplay inakaa muda kidogo kisha yaniletea ujumbe huu Naomba msaada kwa wanaojua,mwanzo ilikuwa vizuri sasa sielewei ninini kilichokorofisha!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Best apps for rooted mobile , this is something which We Dreamy Tricks is going to share with you Today. So, We are sharing the collection of best android apps, which is most downloaded last year...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu simu imedondoka na kioo kimepasuka, inawaka kama kawaida lakini siwezi screen yake haipo active hivyo siwezi kufanya chochote iwe ni kupiga simu, kupokea, kusoma WhatsApp etc. Mwenye nacho...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom