Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nahitaji msaada wa hali na mali wa season ya LETS FIGHT GHOST ya kikorea ambayo screen size yake haija katwa ka youtube ipo full yan ka za kwenye tv kabisa
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Natumain mu wazima. Naomba kuuliza app inaweza nisaidia ku restore majina maana namba zimebaki ila hazina majina, kwenye contact msaada wa kuzirudisha.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Simu yangu nimefanya reset imekubali vizuri tu ila kwenye kipengele cha kulog in na email napata shida na sielewi nifanyaje. Kila email ninayoweka naambiwa (please sign in for...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Huduma ya unlocked kwa simu za voda imerudi ipo hewan kama kawai. Ni pm
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Simu nyingi siku izi hazina auto internet configaration ivyo zinaitaji manual internet setting simu izo ni kama samsung uhawei htc sony na nk ivyo apo ndipo panakuja na umuimu wa kujua APNs na...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Poleni kwa majukumu wadau wa jukwaa la teknologia, naomba tujadili ubora wa bidhaa za led tv kutoka brand hizi mbili,binafsi nlienda kununua sony led tv atleast ya kuanzia inch 40 pale game...
3 Reactions
43 Replies
21K Views
Wapendwa huskeni na kichwa cha uzi hapo juu,,,, Naomben kwa wale wenye uwezo wa kutuwekea kitabu cha nyimbo za wokovu huko play store atusaidie ,, Maana naona vitabu vingine vimejaa ila hicho tu...
1 Reactions
7 Replies
25K Views
kama kichwa cha habari kinavojielezaa nahitaji PC ya hiyo Bei ......apoo .....ata kama ni used fresh.....nipo Darsalam....!!!!
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Wakuu kumekuwa na ushindani katika teknolojia duniani leo nimeona nijitoe uvivu niulize juu ya hilo swala Nani mjuaji wa teknolojia kati ya USA VS japan aksante.
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Mambo vp wadau,haya offer yangu hiyo niletee j5 mpya yenye 4G fasta tufanye biashara,pm kwa mawasiliano muhimu.Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Natanguliza Heshima kwenu. Matumai mu-wazima kabisa na mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu. Naomba mnisaidie sites ntakazoweza ku-download series direct sio torrent wakuu kwa kutumia...
0 Reactions
45 Replies
12K Views
Jamani mwenye uelewa wa jinsi ya ku set internet ya halotel kwenye simu za blackberry kwa kweli kwa jinsi wanavyo set kwenye android phones imeshindikana kabisa inaandika edge tu lakini 3G hakuna...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kuna mtu nilimuachia PC yangu, aina ya CP ni comaq, uyo mtu hana uzoefu na ivyo vitu sasa kwa bahat mbaya nilipomuachia aliiwasha ila baadae akaamua kuizima kwa ku command power ivyo kupelekea...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wana jf naamini humu kuna kila aina ya watalaam wa simu hivyo naombeni mfanihamishe ni namna gani naweza gundua kuwa aina fulani ya simu ya Tecno ni original na fake. Asanteni kwa kunipa ushirikiano
0 Reactions
18 Replies
11K Views
Consumer Alert: Despite Erasing, Personal Data Likely Remains on Devices
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ndo simu ya kwanza kutoka kampuni ya Tecno kua inatumia Android 6.0 yaani maarufu kama MARSHMALLOW,baada ya kutoka w4 imedhaniwa kua Tecno wamemaliza mfululiza wa Y series ambapo simu ya...
4 Reactions
45 Replies
27K Views
Nina laptop aina ya toshiba na nilikuta window 7 mimi nikabadili kuweka xp ,sasa chaajabu kila nikijaribu naona zinajaa window tu badala ya ku delete za zamani ,zina zidi kuwa nyingi zipo mbili...
0 Reactions
3 Replies
981 Views
wadau samahanin hivi ku root cm ndo kuifanyaj cm yko? Plz msaada wa maelekezo
1 Reactions
3 Replies
824 Views
ukiachana na maswala ya mapambo kazi yake kubwa ni nini kwasababu haya madini yanauzwa bei ghali sana wakati huo kuna madini mengi yanafanana na dhahabu na almasi na hayana thamani na kuna watu...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Jinsi ya ku download game ktk computer bila malipo na apps mbali mbali
0 Reactions
5 Replies
858 Views
Back
Top Bottom