Njia za ku-create bios katika PCSX2

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
488
184
Wakuuu nambeni nijuzwe namna gani naweza kucreate bios ili niweze kuenjoy PS 2 games katika pc yangu
Nakwama kwenye hiyo stage ya kucreate bios so nilikuwa naomba kwa mwenye ujuzi juu ya hili anielweshe
 
hizo bios unadownload tu mkuu hautengenezi.

kama hujui ufanyalo nenda torrent kuna pcsx2 ambayo ina kila kitu bios, plugin, na makorokoro mengine
 
Back
Top Bottom