Msaada namna ya kupata hili game

Msaada namna ya kupata hili game

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,556
Heshima wakuu, naomba mwenye kujua namna ninavyoweza kupata game la draft kwenye pc anisaidie ujanja, maana nimejaribu ku-google lakini sijapata.
 
Heshima wakuu, naomba mwenye kujua namna ninavyoweza kupata game la draft kwenye pc anisaidie ujanja, maana nimejaribu ku-google lakini sijapata.
Andika CHECKER BOARD GAMES then search utayapata mengi mpaka utakimbia mbioooo
 
Back
Top Bottom