Anatafutwa Fundi anayeweza ku-instal BEIN DECODER kwa Dar

BabaTina

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
429
1,000
Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali anahitajika haraka

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
1,827
2,000
Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali anahitajika haraka

Duh! Pole mkuu. Ni sawa na kuwa na mamilioni ya shilingi za kitanzania US.
 
Mtingozi

Senior Member
Jun 6, 2015
176
250
Kwanza kabisa hakikisha una dish la bati futi 12 na lnb ya black pro au Fuji ndio unaweza kuipata signal ya hiyo kitu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom