2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 211
- 79
Wakuu ni hivi,natumia tecno w4 ambayo niliweka laini ya Halotel na tigo.Simu hii ilikua na kawaida kwamba nikiwasha data inastack sana,niliwahi kulileta humu tatizo hilo ila sikupata solution! Juzi tu hapo nilitoa laini ya halotel (ya Chuo) nikaona hali ya simu imebadilika yani imekua inarun vizuri tu,je ni kitu gani kinachosababisha hiyo lain iwe hivyo?