Kingston unveils 2-terabyte USB flash drive

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,552
2,000
Kampuni ya kutengeneza vifaa vya teknolojia ya computer "Kingston" February 2017 itaingiza sokoni Flash yenye ukubwa wa Terabyte 2 (GB 2000).

=====
kingston2gb-2-010417_5E9C66934193421AB968B7AECA27D7F0.jpg

MANILA, Philippines – Three years after releasing a then-record-setting 1-terabyte (TB) USB flash drive, storage solutions provider Kingston follows up on the feat with a new 2TB model.

Called the "DataTraveler Ultimate Generation Terabyte," Kingston touts in astatement that the flash drive can hold 70 hours of 4K video. You'll be able to store a lifetime's worth of smaller-sized media files in this massive drive.

The product is part of Kingston's lineup for Consumer Electronics Show (CES) 2017, which will officially open on Thursday, January 5, US time. It uses a USB 3.1 adapter and comes in a zinc-alloy metal casing that, Kingston says, is designed for shock protection. With that amount of data, putting the drive in a tough shell sounds like a thoughtful move from the company.

The drive is set to come out in February 2017, plus a smaller 1TB variant. Pricing has not been announced but given that it's the first of its kind, expect it to come at a premium. – Rappler.com

Source: Rappler
 

Mudhyd

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
490
500
Duh, hii ni amaizing wakati wengine hata pc zetu hazina 1tb disk
 

Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
333
225

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,753
2,000
Never say never kwenye teknolojia mkuu, mwezi May mwaka jana(2016) Samsung waliitangaza BGA MVMe SSD yenye uwezo wa 512GB ikiwa na uzito wa gram moja tu na dimensions za 16mm kwa 20mm kwa hiyo hilo linawezekana mkuu

Reference: Samsung Mass Producing Industry’s First 512-Gigabyte NVMe SSD in a Single BGA Package for More Flexibility in Computing Device Design
still mkuu hio sio usb flash sababu hapo sio total package hio ni memory tu itahitaji controller zake na chanell za kuipitisha nk ukiiekea itakuwa kubwa.

tuchukulie mfano ndio kweli umeweka ssd kwenye umbo hilo usb ita bottle neck, haitapitisha bandwidth yote ya 6gbps ya sata III ndio maana unaona hakuna gpu za usb za maana, ukikuta ssd inapitisha kwenye usb ujue speed yake ni ndogo.

port pekee yenye uwezo wa kucompete na sata III ni thunderbolt 3, labda watengeneze ya hivyo
 

Mars Rover

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
333
225
still mkuu hio sio usb flash sababu hapo sio total package hio ni memory tu itahitaji controller zake na chanell za kuipitisha nk ukiiekea itakuwa kubwa.

tuchukulie mfano ndio kweli umeweka ssd kwenye umbo hilo usb ita bottle neck, haitapitisha bandwidth yote ya 6gbps ya sata III ndio maana unaona hakuna gpu za usb za maana, ukikuta ssd inapitisha kwenye usb ujue speed yake ni ndogo.

port pekee yenye uwezo wa kucompete na sata III ni thunderbolt 3, labda watengeneze ya hivyo
Sawa kabisa mkuu, kikwazo kikubwa kwenye utekelezaji wa True SSD flash drive ni USB ports za kuweza kunufaika na hiyo kasi ya SSD lakini kuhusu ukubwa inawezekana kufit hizo chip kwenye hiyo form factor pamoja na controller zake katika teknolojia na ushindani wa sasa ambapo kila kampuni inajaribu kuwa mbele ya mwenzie.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom