sameerkhan
Member
- Nov 5, 2015
- 97
- 34
Habari za muda huu, naomba msaada kama inawezekana, natumia simu aina ya tecno C8 nahitaji kubadilisha aina tofautitofauti za miandiko (fonts style) bila ku-root simu yangu.
Msaada please,
Msaada please,