Toshiba satellite C660 inagoma kuingia kwenye BIOS

Toshiba satellite C660 inagoma kuingia kwenye BIOS

arjun abdallah

New Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Msaada toshiba yangu c660 inagoma kuingia kwenye BIOS Na boot menu nataka nijaribu kuweka Windows nashindwa
 
Ukiwasha tu pc yako bonyeza f9 ikikataa test f12 , esc, f1 .f2

Solved
 
izime kwanza then bonyeza power button then shikilia f12 kama unataka boot menu au f2 kama ni setup
 
Zima toa betri, bonyeza pa kuwashia kwa dk1 then connect adapter bila betri, iwashe ikiwaka tuu bofyabofya F2 mpaka usikie kamlio katakachokuwa kanajirudia kila ukiibonyeza..... nasubiri majibu
 
Back
Top Bottom