Mbinu kwa mafundi simu

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,313
2,641
GSM-Forum kuna mtu kuna mtu humu ni fundi wa simu ama anajishugulisha kwa namna yeyote kutoa solution kwa msaada wa google au youtube basi ajitahidi kutunza hizo mbinu kwani muda si mrefu huenda solution zote zilizopo online huenda zikafutwa
 
tulisha kuwa nazo mkuu tuko vizuri sana hatutegemei vitu vya bure
Kuondoa solutiin online ni kuua soko la simu, wanategemea nini? Hizo solution zitaendeleakuwepo ila sio ujuzi wa jujuwezesha kuunda simu kama yao. Repair ni suala dogo sana sidhani kama watakuwa wamefanya jambo la maana kuziondoa.
 
gsmforum nadhani itaendelea kuwepo ngoja tuone maana mimi sina taarifa toka gsmforum
 
nipo gsmforum sijaiona hiyo mada:GSM-Forum

Request to all Software Worker & forum members
Don,t upload any software Solution & flash file link on Youtube Like This time Many People upload All solution Like Flashing Unlocking FRP with out box Eqt This is big problem come in the feature for our Job
many advance people find with solution on Google Like Our Customer doing All Process Like RFP/Unlocking /Flashing watch on Youtube So please Delete ASAP

Please Think About this & Save All Mobile Worker Features
 
sasa hao si watu wa mabox wanaleta uchoyo? ukitoa support za box vilivyobakia unavipata xda vingi tu.
 
gsmforum wasemahivi:Yes I Agree With This...Customers can Easily Know Solutions From Youtube..
And Plaese Dont Post Solutions And Tricks In Facebook(This Is The Easiest Way To Kill Our Market)Please Understand and Cooperate Every One.... (Hapa wanamanisha hawa products makers wanakosa soko kwa kupost kwenye face book ama utube)
angalia post namba moja
 
he horse already left the barn. There are a lot of people who aren't members or guests of this forum who're posting FRP tutorials on youtube, besides FRP removal without boxes is becoming more difficult especially for non-samsung devices. Android security is becoming better and better with the discovery of these bypasses and soon people will have no choice but to use software exploits found by developers to bypass FRP. Your efforts are futile.(Huu ni ushauri wa baadhi ya members wa gsmforum)
 
Mbona hamuelewi ukiwa na boxes solution zitakuwepo
bandiko langu tu ndio limejichanganya, niliandika hivyo ila wakati nna paste link yakafutika maneno mengine ikakaa link, nilimaanisha kuna baadhi wanaotegemea google na youtube pekee hawana box hata moja.
 
hawo ni mafundi njaa free softwares mara nyingi zinaua simu
 
Back
Top Bottom