utapata basic knowledge tuu ambayo haiwezi kukusaidia lolote kibiashara mtaani.. ...mimi ni mtaalam ya hayo mambo kwa miaka saba lakini bado nasoma na kuongeza knowledge.. computer repair ni uwanja mpana sana(ni engineering pana yenye mambo mengi haswa utaalam wa kusoma circuit board) na error mbalimbali katika computer kujua source zake na jinsi ya ku-solve na kama udaktari.. kwanza ili uwe mkali inakubidi ukae na fundi mtaalam na wakisasa na uwe ni mtu wa kusoma sana haswa kwenye mitandao na forums mbalimbali za computer.. ili kuji-update kwa kuwa computer zinakuja mpya kila leo na zina utaalam wake na matatizo yake pia kama apple zina magonjwa yake inabidi kutulia sana, pia uwe na knowlwdge pana ya electrical na electronics(background yako) zaidi ya hapa utaishia kupiga windows na ku-solve matatizo madogo madogo ya software kuliko hardware..Habar Eti Unaweza kusoma short course ya Computer maintainece and repair kwa miezi miwili ukawa FUNDI mzuri katka mambo ya computer