Msaada: Jinsi ya "kuShare" King'amuzi

Msaada: Jinsi ya "kuShare" King'amuzi

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Habari za hapa Wadau..

Naomba kujua vifaa gani vinatajika niweze kutumia king'amuzi kimoja ktk TV mbili.. (Moja sebuleni nyingine chumbani)

AINA YA KING'AMUZI NI ZUKU....

ASANTENI SANA!
 
p0a, ebu nunua waya na pin ya mbli m0ja ya kwenye lnb 0ut ya king'amuz cha seblen na ya lnb in ya king'amuz unachoweka chumban
 
Naomba kuuliza Antenna za startimes zinauzwa bei gani sasa ?
 
p0a, ebu nunua waya na pin ya mbli m0ja ya kwenye lnb 0ut ya king'amuz cha seblen na ya lnb in ya king'amuz unachoweka chumban

>>>>Hapa sijakuelewa.... Naomba ufafanuzi zaidi.
 
je kingamuzi chako kina RCA output njia sita.
kama hakina pia inawezekana lakini yote kwa yote nijibu ili nikupe maelezo.
 
Habari za hapa Wadau..

Naomba kujua vifaa gani vinatajika niweze kutumia king'amuzi kimoja ktk TV mbili.. (Moja sebuleni nyingine chumbani)

AINA YA KING'AMUZI NI ZUKU....

ASANTENI SANA!
kwa kifupi unahitaji waya tu kama huo uliotumia kuunganishia hiyo moja ya sasa. sema ndo inabidi uwe mrefu ili kufikisha unapotaka. na ni nadra kupata ila unaweza kununua hizo hizo fupi fupi ukaziunganisha.
 
Na huu Waya naungaje???
 
tazama dikoda yako kama ina pini sita za kuchomeka nyuma ya hicho kingamuzi. kisha nipe jibu
 
unaweza kuunga kawaida au kuna conector maalum ambazo unakuwa una uwezo wa kuchomeka huku na huku.

au ingia google search rca conector utaziona picha
 
Kwa iyo ukibadili chanell kote kunabadilika? , yani tv zote zitakua zinaonyesha chanel moja kwa wakati mmoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom