Msaada; Tecno C9, siwezi kupiga simu kupitia phonebook

libra

JF-Expert Member
May 23, 2013
301
121
Wadau habari,
simu yangu ya Tecno C9 inatatizo sehemu ya phonebook, yaani ukibonyeza jina halifunguki,nikitaka kupiga simu mpaka niandike namba kwenye karatasi.
 
Ulisha save majina na namba zake kwenye hiyo phonebook yako?
 
mkuu download app nyengine ya phonebook sio lazima utumie hio search neno dialer playstore then jaribu mbili tatu, ni vyema hio dialer iwe na phonebook yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom