Msaada: LG G2 screen inastack kwa sekunde 20 kila nikifungua app yeyote

tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
3,653
7,927
Habarini za kazi wanajamvi!
Natumia LG G2, kuanzia jana nimepata tatizo kila nikifungua application screen inastack kwa sekunde chache ndio niweze kuendelea. Baombeni msaada wa nin naweza kukifanya ili simu yangu irudi kwenye hali yake ya kawaida.
Natanguliza shukurani.
 
ukitype haistack? dhana zangu naona.kama ni tatizo la storage pengine emmc zinaanza kuzingua.

jaribu kuireset au kuiflash uone kama itasaidia
 
ukitype haistack? dhana zangu naona.kama ni tatizo la storage pengine emmc zinaanza kuzingua.

jaribu kuireset au kuiflash uone kama itasaidia
nikityp pia inastack hasa nikiwasha data ama WiFi
 
ugonjwa wa G2 huo...itafika mahali touch itakuwa hairespond kabisa
kuna wakati nilifuatilia kwenye thread ya LG flani wakawa wanasema its a bug kwenye firmware..
though nlijaribu kuflash ila wapi..
 
ugonjwa wa G2 huo...itafika mahali touch itakuwa hairespond kabisa
kuna wakati nilifuatilia kwenye thread ya LG flani wakawa wanasema its a bug kwenye firmware..
though nlijaribu kuflash ila wapi..
Leo nimetoa memory card naona imeanza kupiga mzigo vizuri, hata mim nimepitia kwenye source mbalimbali nimeona wenge wanaliongelea hili suala. Asante kwa taarifa mkuu.
 
Leo nimetoa memory card naona imeanza kupiga mzigo vizuri, hata mim nimepitia kwenye source mbalimbali nimeona wenge wanaliongelea hili suala. Asante kwa taarifa mkuu.
mkuu lg g2 ina memory card? sio mchina huyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom