kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,698
- 1,941
Wale wenye uzoefu na izi smart phone na atufafanulie hapo Kati ya laini ya tigo na halotel ipi inapasua kwa kasi intenert? Ukiweka kwenye Simu yenye uwezo wa 4G?
Mimi sim yangu ni 4G model ila nimeweka halotel net inapasua Hatari nilifikiri kuweka ya tigo koz tgo wapo 4GHallotel kboko yao ata ...kwangu mm hallotel naipa namba 1 kwa upande wa speed ya internet...wako vzur...natumia 3g ...lkn na stream live football game online bila kukwama...
itaonesha 3g na sio 4gSimcard yenye 4g ukiweka kwenye smartphone ambayo haisupport 4g halafu uko eneo ambalo net ya 4g inakamata vizuri,je itaonyesha h+ au 4g!
Kwa Iyo mkuu laini ya halotel isyo na 4G na tigo yenye 4G ipi inapasua4G mwisho wa reli mzee app ya mb 50 sec 30 hii ni hatari halotel haliwezi hilo