Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanJF, nimetengeneza video ya bootstrap kama intro. Usipitwe na video hii ingia kwenye channel yangu jifunze web (Youtube) Karibuni tujifunze web.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau ,Jaman Nina iPhone 6s+ INA icloud yan inanipasua kichwa sana kila kukicha ,Msaada was kimawazo pia ushauri mwenye ujuzi was kuitoa hii kitu ,Tafadhali nisaidieni
2 Reactions
88 Replies
8K Views
Wakuu habari zenu. Naomba kujuzwa MTK Loggers ni nini? . Application hii imekuwa ikinisimbua sana pale napokuwa naingia Facebook. Tatizo linakuwa hivi : Nikiingia Facebook simu inajizima kisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada wenu, mouse ya PC yangu ina stuck na wakati mwingine haifanyi kazi kabisa nikiwa naichaji na kuitumia....
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Masters scholarships for Tanzanians in Tech and other disciplines Going back for masters studies may sometimes requires extra courage especially if you are coming from a good earning job or you...
4 Reactions
0 Replies
810 Views
Msaada jamani iphone yangu imeniandikia storage full halafu inasema naweza ku-upgrade storage kwa njia ya BUY. Inasema hivyo hasa hiyo security code ndo inanichanganya kabsa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu na hongera kuvuka mwaka. Naombeni mnisaidie, ishu yenyewe ni kwamba e-mail yangu sijaingia muda mrefu na nilibadili namba ya simu niliyofungulia kwa hiyo niki-log in inasema...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
Nippo natafuta flat screen,iwe used or mpya but nataka nijue copy nitaijuaje kwasababu zipo nyingi sana mitaan na madukani. Kampuni: Samsung Lg
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwa wanaJF wote naombeni kufahamishwa ni njia gani inayotumika kupata internet kwa kutumia haya madish ya kawaida ya tv channels na ni satellite gani inayotumika. Msaada kwa wanaJF...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nahitaji msaada wa link ya Gb WhatsApp. Natanguliza shukrani
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Msaada kulingana na kichwa cha habari hapo Juu. Nimejaribu takribani cd tofauti tofauti za win10 na win7 lakin imeshindikana. Nikajaribu kutumia bootable usb ikashindikana pia. Speed ya kuinstall...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mtu aliweka password kwenye simu (Phone password) sasa amezisahau na hawezi kuiwasha hiyo simu. Msaada please!
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Za Humu Ndani wadau, nilikua Niki stream na mamaHD.com kwa PC nikitumia Voda net, na nilikua na stream vizuri...kwa sasa inakatika Katika Sana...mtandao gani mzuri ku stream online? Or best web...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu naombeni mnifahamishe game nzuri ya mchezo wa draft kwenye android.. Kila nikingia play store nakutaka na ambazo hazieleweki au nyingine ni nyepesi sana.. Yani opponents hapana changamoto...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Et wadau Kati ya hizo fani Mbili ipo ni rahisi kutoka kimaisha Kwa mazingira ya tanzania
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari wanaJF, napenda kuwafamisha kwamba napenda kuwafundisha watu vitu vifuatavyo kupitia youtube video. 1. Namna ya kununua vitu online kupitia kadi(VISA,MASTERCARD) kwa mgongo wa PAYPAL...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau nilitaka kujua mfumo mzima wa kuflash s
0 Reactions
40 Replies
26K Views
Wadau, Simu yangu Huawei Ascend Y300 leo asubuhi wakati naitumia ghafla application zake zikagoma kufanya kazi, nikadhani labda itakuwa ime-stack ikabidi ni - restart, wakati inawaka ilipofikia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau habari ya asubuhi. Katika huduma za kifedha zitolewazo na airtel kupitia airtel money kuna huduma ya utoaji pesa kutoka akaunti ya airtel money kwenda ATM MASHINES za benki mbali mbali ila...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Utatofautishaje samsung galaxy s5 origional na clone?
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Back
Top Bottom